Jambo
Kwaheri
Habari ya asubuhi
Habari ya alasiri
Habari ya jioni
Ndio
Hapana
Tafadhali
Asante
Tuonane baadaye
Sitaki, asante
Samahani nataka kupita
Nigependa kuelezwa juu ya ..
Jina langu ni ..
Jina lako ni gani?
Ni heri kukutana nawe
Unaendelea aje?
Vyema, na wewe?
Ina bei gani?
Tafadhali naomba usaidizi
Najaribu kusoma Kiswahili